Monthly Archives: December 2018

“CHUMVI YA MAJUTO” – WIMBO MPYA WA DAMBWE LA HIP HOP

Kundi la hip hop ya handaki lijulikanalo kama Dambwe la Hip Hop limetoa wimbo mpya uitwao CHUMVI YA MAJUTO. Wimbo huo umetungwa na kurekodiwa ikiwa ni sehemu ya kuonyesha mshikamano na wananchi wa Amboni wanaopigania ardhi yao iliyo(kuwa) katika tishio la kuporwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kushirikiana na wawekezaji uchwara. Ili kuusikiliza […]

MABASI YA USHIRIKA: NGUZO PEKEE YA KUONDOA UNYONYAJI KATIKA SEKTA YA USAFIRI

NA ABDALLAH S. LUBALA Tarehe 5 Mei 2015, ulitokea mgomo wa madereva wa mabasi nchi nzima, ukisimamiwa na madereva wa mabasi wa jiji la Dar es Salaam, kushinikiza serikali ilinde na kusimamia maslahi ya madereva. Serikali iliingilia kati kwa kuanzisha kamati ya Waziri Mkuu itakayoshughulikia sekta ya usafirishaji. Kazi kubwa ya kamati hiyo ni kuyatafuta […]

US IMPERIALISM AND UGANDA

BY BWESIGYE BWA MWESIGIRE Today marks the 28th day since Dr. Stella Nyanzi was arrested yet again by the Museveni regime, and detained for what the prosecution calls “cyber harassment and offensive communication.” Nyanzi, a researcher and activist, is known for using Facebook to critique Museveni’s government using a particular language and choice of words […]

HOLDING ON TO THE SOCIALIST EXPEDITION

BY CHRISTINA MFANGA One year is gone since my engagement with the socialist experiences in the land of Brazil but none of its memories has gone with it. My mind is  still encircled with its  practical experiences, mistica and all the symbologies that deepens  my enthusiasm about the cause each day.  Talking of the symbologies, […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.