Category Uncategorized

Kuhusu J.P.M na utawala wake,haya hayapaswi kupuuzwa.

Nianze kwa simulizi ya mazungumzo baina yangu na rafiki wangu mmoja na mshirika wa kifikra katika  umajumui wa Afrika ambaye kwasababu kadhaa si miongoni mwa watu wangu wa karibu kwa sasa. Kwa njia ya simu asubuhi moja majira ya kiangazi 2015 nikielekea shamba yeye akiniarifu kuwa alikuwa mkoa mmoja huko kanda ya ziwa nalizungumza naye […]

MADAI  SITA (6) ENDELEVU YA WANAWAKE WANYONGE

Sisi wanawake wavujajasho wa mjini na vijijini tunaojumuisha wafanyabiashara ndogondogo na wakulima wadogo, tumejumuika kimshikamano kusherehekea siku ya wanawake wavujajasho duniani leo tarehe 8/3/2022 katika ukumbi wa Amy Garvey  Manzese. Tukiwa  kama wanawake  tunaokumbana na madhila mbalimbali chini ya mifumo yote kandamizi, tunatambua kuwa maslahi yetu ni tofauti na maslahi  ya wanawake wa tabaka la juu. […]

FROM DAR ES SALAAM TO LA PAZ: WITH SISTERLY REVOLUTIONARY LOVE AND SOLIDARITY.

Dear Bolivian revolutionary sisters, red Salute.  At the moment when all the progressive forces in the world are celebrating the grand victory of the Bolivian working class, we think of you and your courage in a special way.  As it has always been in all the struggles, no doubt your presence and hard work has […]

JOTO LA KITABAKA NA MWELEKEO WA KIMAPINDUZI (2)

Na Gikaro B. Makera Wakoloni na washirika wao ambao ni Waafrika makomprodari walijihusisha na mkakati uliongozwa na kile Mwanafikra wa nadharia ya mapambano ya wavujajasho Walter Rodney alichokiita “Fikra za kinjama za kihistoria”(Conspiracy theories of history) na hatimaye walikabidhiana uhuru lakini kwa masharti ya kuendeleza mahusiano ya kikoloni (ya-kinyonyaji) katika nchi zao, na hili ilisababisha […]

WAVUJAJASHO UNGANENI

Na Sabatho Nyamsenda Mumbai hadi Bunda Wamegeuzwa punda Wabebeshwa mizigo Na kulipwa vipigo. Kule Kariakoo Wanazibua vyoo Kinyesi chawarukia Maradhi yawangukia Viwandani mejazana Wazee hata vijana Bidhaa wanazalisha Bepari ‘mtajirisha Ukienda migodini Wanazama aridhini Yajapo maporomoko Wanafia huko huko Delihi hadi Tanga Mabinti wanadanga Mkono wende kinywani Watoto wende shuleni. Kwa nini hatuelewi? Na kujifanya […]

I Feel A Strong Desire

By Comrade Joseph Tembe I feel a strong desire To help poor families, The likes of my own… Those burnt by the rulers’ fire, Those suffering The consequences of economic failures, Victims of poverty, dependence and diseases Burdened with miseries, problems and challenges, I feel a strong desire For we need to see progress, In […]

In Solidarity with the poor masses in all the nations under Imperialist’s economic sanctions amid COVID 19 pandemic

TANZANIA SOCIALIST FORUM For we are living in the world where imperialist forces run by the monopoly capitalists uses capital means to control, exploit and dominate everything.  Their own free market , free trade and democracy gospel has proven to be “ Fictitious and Fable”. It is now beyond doubt that the economic sanctions imposed […]

FASIHI NI KIOO CHA KUFAFANUA HALI YA MAISHA ILIYOPO AU NI NYUNDO YA KUUNDIA MAISHA MAPYA? TAFAKURI KUTOKA TAMTHILIA YA ‘WILDFLOWER’ – SEHEMU YA II

Na Gikaro Benard Inaendelea…. Ili kuweza kuelewa vizuri filamu inatupasa kusahili kwa kina dhamira zilizoibuka ndani ya kazi hii ya kifasihi. Labda tuanze kuangalia moja ya dhamira ambayo ni mgongano wa kitabaka. Tamthliya ya ‘Wildflower’ imeweza kuonesha kwa uwazi zaidi kuhusu uwepo wa matabaka na mgongano wa kitabaka kwenye jamii. Inatuonesha kwa undani zaidi chanzo […]

SUPERWOMAN: VIPI KUHUSU USUPA ULE WA MWANAMKE?

Na Jasper ‘Kido’ Sabuni Kuelekea siku ya wanawake iliyofanyika Machi 8, baadhi ya wasanii wanawake, chini ya mwamvuli wa Wasafi Media, waliachia wimbo uitwao Superwoman. Kwa ujumla wimbo huo unaeleza juu ya ujasiri na uhodari wa wanawake katika dunia ya sasa. Kwa kiasi chake pia, wimbo huo ninaufananisha mahadhi na maudhui sawa na wimbo wa […]

FASIHI NI KIOO CHA KUFAFANUA HALI YA MAISHA ILIYOPO AU NI NYUNDO YA KUUNDIA MAISHA MAPYA? TAFAKURI KUTOKA TAMTHILIA YA ‘WILDFLOWER’ – SEHEMU YA I

Na Gikaro Benard Kama namna ya kuushinda upweke kwa njia ya  kuwasiliana na kushirikiana na binadamu wenzangu, makala hii imejikita kuangazia kazi ya fasihi kupitia tamthliya ya “Maua ya mwituni” (Wildflower). Kwani tunapoandika tunalaani yatuhuzunishayo na kuwashirikisha wenzetu katika yale yatufurahishayo na kutupa faraja, tunaandika kwa nia ya kuufikia ukweli katika jamii zetu, ukweli ambao […]

ANC IELEKE KITUBIONI . Kisa Cha Usaliti Wa ANC Dhidi Ya Nomzamo Columbus Medikizela “Winnie Mandela” (I)

Na Muhemsi Chambamtwe Mwakihwelo Binti aliyezaliwa katika nchi ya Afrika Kusini angalau chini ya mwaka 1950 pasi shaka anakuwa katika hatari ya kubeba mizigo mingi kuanzia katika familia yake mpaka katika jamii yote ya Afrika Kusini. Afrika Kusini ya utawala wa makaburu, makaburu walio kizazi cha wavamizi na walowezi toka Ulaya waliofika na kuingia nchini […]

OUR DISAPPOINTMENT ON THE DESPICABLE VIOLENCE IN AZANIA (SOUTH AFRICA) AND BEYOND

The ongoing attacks of Africans against fellow Africans in Azania are despicable, uncouth, barbaric and a disgrace to our continent. These acts need to be shamelessly and strongly condemned and stopped by all civilized humans. We, the Tanzania Socialist Forum (TASOFO), express our sheer disappointment and devastation by the horrific and vicious acts going on […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.