Category KUTOKA MAKAVAZINI

Msimamo wa Nyerere Katika Nyakati Hizi

Na Joel Ntile Ni miongo miwili sasa imepita tangu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atutoke na imeshuhudiwa kwa sehemu kubwa bado ameendelea kuzungumzwa kwa namna mbalimbali hasa juu ya yale aliyoyasimamia na kuyapigania enzi za uhai wake. Watu tofauti tofauti katika nyakati hizi wanamzungumza Mwalimu Nyerere kwa malengo tofauti tofauti na kwa namna tofauti. Rafiki […]

Jinsi Corona Inavyotukumbusha Uafrika Wetu

Na. Armstrong C. Matogwa Iksiri Makala haya yanaeleza jinsi ugonjwa wa corona ulivyoleta mwanga kwa Waafrika katika kujitambua na kutafuta kujitegemea. Hili limetokea baada ya matukio mbalimbali ikiwemo visa vya ubaguzi wa rangi vilivyotokea huko China pamoja na udhaifu wa tiba za Wazungu katika kuponya wagonjwa wa corona. Mambo haya yamewafanya Waafrika wajitafakari upya, wajione […]

Vladimir Ilyich Ulyanov Lenin

Heri Ya Kumbukizi ya Maisha na Mchango wa Vladimir Lenin Aprili 22, 1870 – Januari 21, 1920 Uzoefu wake, Maarifa yake, Taaluma yake, Mbinu zake, Itikadi yake, Silika na haiba yake, Villibadilisha kabisa mwendo wa ulimwengu karne ya 20. Je, ipo maana ya uzoefu wake? Kwa namna na kiasi gani unaweza kujifunza na kuhamasika toka […]

BURIANI KING MAJUTO, ‘CHUMVI YAKO’ IMEACHA MAJUTO

NA SABATHO NYAMSENDA Hatimaye mwili wa Amri Athumani, almaarufu ‘King Majuto’, ulipumzishwa rasmi katika nyumba yake ya milele tarehe 10 Agosti 2018 huko Kiruku, Tanga. Mzee Majuto alifariki Agosti 8, baada ya kuugua kwa miezi kadhaa maradhi ambayo yalipelekea serikali kutoa agizo la kumpeleka India mwanzoni mwa mwaka huu. Maelfu ya watu waliojitokeza kuuaga mwili […]

HELDER CAMARA: NIKIHOJI KWA NINI WANYONGE HAWANA CHAKULA, NAITWA MKOMUNISTI

“Nikiwapatia wanyonge chakula, ninaitwa mtakatifu. Nikihoji kwa nini wanyonge hawana chakula, ninaitwa Mkomunisti” Maneno hayo yalipata kutamkwa na Helder Camara aliyewahi kuwa askofu mkuu wa jimbo la Olinder na Recife huko Brazil. Askofu Camara alikuwa ni kati ya waanzilishi wa injili ya ukombozi (liberation theology), ambayo ilidadisi chanzo halisi cha umaskini, na kupigania usawa kwa […]

KUHUSU KUHUJUMIWA KWA TTCL: WAFANYAKAZI WALIONYA TANGU ZAMANI

Mashirika ya umma hayakufa yenyewe. Yaliuawa kwa hujuma za ndani na nje ya nchi ili kuhalalisha kwa uporaji wa mali za mashirika hayo, kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kwa bahati nzuri, wafanyakazi wa mashirika ya umma hawakukaa kimya wakati hujuma hizo zikiendelea. Walipambana kuyaokoa mashirika hayo huku wakionyesha wazi wazi namna ambavyo yalikuwa yakihujumiwa. Tunawapongeza mashujaa […]

KABURI LA UUZWAJI WA NBC LIFUKULIWE, TURUDISHIWE BENKI YETU

Habari ifuatayo hapa chini ilichapishwa katika gazeti la Raia Mwema toleo na. 381 la Novemba 26, 2014. Mengi yameshaandikwa kuhusu uporaji wa waziwazi uliofanywa na makaburu kwa kushirikiana na viongozi wa serikali wa nyakati hizo. Tunataka haki itendeke: kaburi la uuzwaji wa NBC lifukuliwe. Benki hii irejeshwe mikononi mwa serikali kwa 100% bila kulipa fidia […]

OGINGA ODINGA NA USHAWISHI WA UKOMUNISTI

[Jaramogi Oginga Odinga ni kati ya wapigania uhuru nchini Kenya na waasisi wa chama cha KANU. Baada ya Kenya kujipatia uhuru wake mwaka 1963, Odinga alikuwa Makamu wa Rais wa Kenya, na pia makamu mwenyekiti wa KANU. Hata hivyo, yeye na wenzake wa mrengo wa kushoto hawakukubaliana na mwenendo wa sera za kibepari za Rais […]

WE ASK ONLY FOR JUSTICE

“We do not ask for concessions, we scorn concessions; we do not ask for generosity, generosity is for the weak; we ask for no rewards, rewards are for slaves. We ask only for justice”. This statement appears on the front page of the first issue of East African Chronicle (1919). The Chronicle was edited by […]

KENYA: DEMOKRASI NA MAPAMBANO YA KITABAKA

Na Mwandawiro Mghanga (1997) [Vifuatavyo hapa chini ni baadhi ya vipengele kutoka kwenye insha ya komredi Mwandawiro Mghanga kuhusu Falsafa ya Kimapinduzi: Demokrasi na Harakati za Kitabaka. Komredi Mghanga aliiandika insha hii mwaka 1997 ikiwa ni sehemu ya mapambano ya wavujajasho kuleta ukombozi wa kweli wa Kenya. Komredi Mghanga ana historia ndefu katika mapambano ya […]

VIJANA WA AFRIKA, SIKU YETU IMEFIKA!

Na Sabatho Nyamsenda (Septemba 2014) Sasa ni dhahiri kwamba Afrika imekwishaangukia katika himaya ya ubeberu. Matumaini ya kujinasua ni machache. Hapo zamani na mpaka miongo ya hivi karibuni, Afrika ilikuwa na jeuri ya kujifaragua na hata kugoma kuutumikia ubeberu isipokuwa kwa shuruti. Babu na bibi zetu hawakukubali kwa hiyari yao kupelekwa utumwani. Walilazimishwa kwa mijeredi, […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.