Category MIJADALA YA UKOMBOZI

Kuhusu J.P.M na utawala wake,haya hayapaswi kupuuzwa.

Nianze kwa simulizi ya mazungumzo baina yangu na rafiki wangu mmoja na mshirika wa kifikra katika  umajumui wa Afrika ambaye kwasababu kadhaa si miongoni mwa watu wangu wa karibu kwa sasa. Kwa njia ya simu asubuhi moja majira ya kiangazi 2015 nikielekea shamba yeye akiniarifu kuwa alikuwa mkoa mmoja huko kanda ya ziwa nalizungumza naye […]

AU’s rapprochement to Zionist Israel, Pragmatic or Opportunistic Move?

“Israel should once again be an observer state of the African Union … I fervently believe that it’s in your interest too, in the interest of Africa. And I hope all of you will support that goal,” Benjamin Netanyahu told West African leaders at the 51st ECOWAS Summit of Heads of State in Liberia’s capital Monrovia ,2017. […]

Msukule wa “U-Tanganyika” na ibada ya sanamu kwa mkoloni.

Wavuja jasho lazima waelewe hayo ili wasihadaiwe na siasa za madaraka zenye lengo tu la kushika dola hilihili lenye sifa za kikoloni.Kulipa jina la Tanganyika ama Tanzania hakuliondolei sifa hizo,hivyo suluhu kwao si uwepo serikali ya Tanganyika. Kwa zama nyingi kumekuwako na hulka ya watu kutaka/kutamani mapungufu,kushindwa ama uzembe wao uwe umetokana na watu ama […]

Tarehe 9 Desemba. Sisi wavuja jasho tusherehekee nini?

Na, Muhemsi Mwakihwelo Kwa kuwa, hakuna kisichobadilika isipokuwa mabadiliko yenyewe basi ni haki kwetu kujumuisha kuwa hata wasingekuja hapa nchini kwetu wamishonari, wapelelezi na wafanyabiashara kutoka mataifa ya Ulaya(hasa Ulaya magharibi) nchi yetu isingesalia vilevile kama ilivyokuwa katikati ya karne ya 19. Ni ngumu kutoa taswira sahihi ya nini kingejiri na ni hatari kugeukia katika […]

Hoja Potofu Kumi na Tano Kuhusu Wamachinga

1. Wanakwepa/Hawalipi kodi Machinga hulipa kodi, ada na tozo zote za serikali. Mosi, wanalipa Kodi ya ongezeko la thamani(VAT) wanunuapo bidhaa. Pili, hulipa tozo zingine kwa mujibu wa sheria na sheria ndogondogo kulingania kima cha mitaji yao. Kipekee naona ndio watoa huduma zinazokidhi watu wenye kipato duni ambao wanafanya shughuli zao katikati ya miji. Tatu,  […]

TO THE RED CARPET FEMINISTS; CONGRATULATIONS FOR BREAKING A GLASS CEILING.

BY TINA MFANGA 2021 will be remembered as the year of two major events in the history of Tanzania. The loss of a president while in power for the first time, and swearing in the first female president since independence. While others mourned for the loss, some celebrated the new president and mostly feminists who […]

JOTO LA KITABAKA NA MWELEKEO WA KIMAPINDUZI

Na Gikaro B. Makera “Enyi wavujajasho wote unganeni. Hamna cha kupoteza ispokuwa minyororo ya utumwa mliofungwa”. Hali ya Muundo wa kitabaka Kabla na Baada ya Ukoloni Katika nyakati hizi za ubepari wa Kilibelali mamboleo upo mpasuko mkubwa wa kitabaka katika jamii yetu, pengine tofauti na siku za  miaka ya 1950 kuja 60 barani Afrika ambapo […]

Siku Ya Ukombozi wa Bara la Afrika 2020: Mwendelezo wa Mateso Yasiyokoma

Na Muhemsi Mwakihwelo “Hata hivyo ewe mtoto mweusi/wa kiafrika, katika unadhifu ama Dhalili umezaliwa katika haya na katika udhaifu ama dhalili utakufa kwayo” Steve Bantu Biko Sehemu ya II (Sehemu ya kwanza ya makala hii inapatikana hapa) Kawaida, raia wa mataifa makubwa makubwa afanyapo makosa ughaibuni mataifa hayo humkingia kifua raia wao na wakati mwingine […]

Mabadiliko ya Sheria na Agano la Umma

Na Jasper Kido “Hapo mwanzo palikuwapo na umma; nao umma ukaunda Jamhuri ya Muungano; nao umma ukazaa serikali, bunge na mahakama. Nayo mihimili ikawako kwa umma; wala pasipo umma hakuna kilichopaswa kufanyika. Ndani ya umma ukawepo uzima, nao ule uzima ukawa tunu, kwa wote, na nuru, kote ukapata mulika. Nayo nuru ikang’ara gizani, wala giza […]

Siku Ya Ukombozi wa Bara la Afrika 2020: Mwendelezo wa Mateso Yasiyokoma

“Hata hivyo ewe mtoto mweusi/wa kiafrika, katika unadhifu ama Dhalili umezaliwa katika haya na katika udhaifu ama dhalili utakufa kwayo” Steve Bantu Biko Na Muhemsi Mwakihwelo Sehemu I Akisi Fupi Waenzi na watetezi wa ukuu/ utukufu wa Afrika ama mtu mweusi hukumbwa na changamoto katika kufanya marejeo kwa kuwa hulazimika kutumia rejeo kuukuu ama kongwe […]

REMIND LORD CHRIS PATTEN: TIME FLIES FASTER THAN HIS CONSCIOUSNESS

Writes Christina Mfanga For centuries, the colonized people have not only suffered from having to live as subjects of colonialism in its every new phase, but they have also been mocked with ideas and assertions that they have to be grateful for colonial oppression. The infamous notion of ‘civilization mission’ has been used to justify […]

WANAWAKE NA UWAKALA KATIKA KILIMO

Na Theodora Pius Wanawake Juu? Juuuu! Wanawake Hai, Hoi? Haiiiiii! Wiii! Waaa! Wanawake tunaweza, hatuwezi? Tunawezaaa! Salamu hizi si ngeni hata kidogo; nazo zimekuwa maarufu na yamkini pendwa sana, hususani katika maeneo ya vijijini. Lakini je, salamu hizi na tambo zilizomo katika majibu yake zina akisi kwa kiasi gani Ujuu, Uhai na Kuweza kwa wanawake? […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.