Category MASHAIRI

Hoja Potofu Kumi na Tano Kuhusu Wamachinga

1. Wanakwepa/Hawalipi kodi Machinga hulipa kodi, ada na tozo zote za serikali. Mosi, wanalipa Kodi ya ongezeko la thamani(VAT) wanunuapo bidhaa. Pili, hulipa tozo zingine kwa mujibu wa sheria na sheria ndogondogo kulingania kima cha mitaji yao. Kipekee naona ndio watoa huduma zinazokidhi watu wenye kipato duni ambao wanafanya shughuli zao katikati ya miji. Tatu,  […]

I CAN’T BREATHE!

I can’t breathe… My chest is so full of anger, I am overwhelmed with hatred, bitterness, vengeance and fury, I am chocked with fear, The pain is so intense I can no longer bear,   Why do they have to be so obsessed with us of my kind? In their vicious self and mind, They’d […]

WAVUJAJASHO UNGANENI

Na Sabatho Nyamsenda Mumbai hadi Bunda Wamegeuzwa punda Wabebeshwa mizigo Na kulipwa vipigo. Kule Kariakoo Wanazibua vyoo Kinyesi chawarukia Maradhi yawangukia Viwandani mejazana Wazee hata vijana Bidhaa wanazalisha Bepari ‘mtajirisha Ukienda migodini Wanazama aridhini Yajapo maporomoko Wanafia huko huko Delihi hadi Tanga Mabinti wanadanga Mkono wende kinywani Watoto wende shuleni. Kwa nini hatuelewi? Na kujifanya […]

I Feel A Strong Desire

By Comrade Joseph Tembe I feel a strong desire To help poor families, The likes of my own… Those burnt by the rulers’ fire, Those suffering The consequences of economic failures, Victims of poverty, dependence and diseases Burdened with miseries, problems and challenges, I feel a strong desire For we need to see progress, In […]

FEMINISTS IN HIGH HEELS

Feminists in high heels Stick their noses in the air And sniff at my dust-covered sneakers. They point their tight breasts at patriachy And smirk at my saggy bust. They push their bottoms outwards As if they never shit. They deem my activism too grounded… “She’s too dirty to be one of us!” Feminists in […]

SHAIRI: MTOTO WA AFRIKA

MTOTO WA AFRIKA Na Jumaa H. Heshima (Tarishi Wa Malenga) Desturi ni salamu Kwetu sisi wanadamu Mwanzo wa hii nudhumu Basi nawasalimiya. Pili namuomba Mungu Atwondoshee ukungu Lakini sio uchungu Visa tukisimuliya. Siku ya kumi na sita Mwezi pia ni wa sita Mwaka sabini na sita Wana hawakuhofiya. Walipinga Apathedi Japo kuna mijeledi Mabomu yaso […]

NOW THAT HE IS PRESIDENT – POEM 41 BY STELLA NYANZI

Stella Nyanzi, the Ugandan activist and scholar, is still incarcerated in Luzira Maximum Prison where she has already spent 228 days. Stella is accused of disturbing the peace and tranquility of the Ugandan President, Yoweri Museveni, through her critical poems. On June 16th 2019 she celebrated her 45th birthday behind bars while her comrades around the […]

BE READY – A POEM

BE READY BY NDEVU EMCEE I will never go back, I am a comrade that’s why am ready to fight, Ready to carry a gun to fight back, Ready to shoot & speak the truth about us, Am ready to die with more power, Than to live as a coward, My desire is to fight […]

SHAIRI: TATIZO LETU MFUMO

TATIZO LETU MFUMO NA JUMAA H. HESHIMA (Tarishi wa Malenga) Pamba za uliberali, zimetuziba mashimo Mishemishe hamlali, urefu ni mbilikimo Werevu chanzo kufeli, mpepeto wa mdomo Wizi chanzo cha ukali, kitali pamwe kisimo Kikile hikino kimo, tatizo letu mfumo. Rama kumtoa Ali, kesha asimikwe Limo Nikubadili bakuli, kikile kimumo humo Zimedhoofika seli, siha i mwenye […]

“CHUMVI YA MAJUTO” – WIMBO MPYA WA DAMBWE LA HIP HOP

Kundi la hip hop ya handaki lijulikanalo kama Dambwe la Hip Hop limetoa wimbo mpya uitwao CHUMVI YA MAJUTO. Wimbo huo umetungwa na kurekodiwa ikiwa ni sehemu ya kuonyesha mshikamano na wananchi wa Amboni wanaopigania ardhi yao iliyo(kuwa) katika tishio la kuporwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kushirikiana na wawekezaji uchwara. Ili kuusikiliza […]

TUUNGANE

Na Jumaa H. Heshima (Tarishi wa Malenga) Nimeazimu kunena, hasemezana na watu Hili la kuungamana, kama kamba na kiatu Dhati ni muhimu sana, tuunge midomo yetu Iwiane. Shamba kuna mkulima, yualia kwa mayowe Madereva wanagoma, mikataba wagawiwe Machinga nae asema, “sitohamia Kongowe” Tushikane. Maman’tilie nao, kule wanachakarika Wachimbaji wana yao, nyoyoni wamefutika Utule wa wasilao, […]

ON HEADACHES

Roque Dalton It’s beautiful to be a communist though it brings many headaches. And communist headaches are supposed to be historical, meaning they can’t be cured by an aspirin, only by the realization of paradise on earth. That’s how it is. Under capitalism our head throbs and they cut it off. In the struggle for […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.