Category UJAMAA NA WAJAMAA

Msimamo wa Nyerere Katika Nyakati Hizi

Na Joel Ntile Ni miongo miwili sasa imepita tangu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atutoke na imeshuhudiwa kwa sehemu kubwa bado ameendelea kuzungumzwa kwa namna mbalimbali hasa juu ya yale aliyoyasimamia na kuyapigania enzi za uhai wake. Watu tofauti tofauti katika nyakati hizi wanamzungumza Mwalimu Nyerere kwa malengo tofauti tofauti na kwa namna tofauti. Rafiki […]

Miaka 150 ya Vladmir Lenin: Historia yake kwa ufupi

Na Eliza Siku ya jumatano April 22 mwaka huu ilitimia miaka 150 tangu Mwanafalsafa, Mwanasiasa na kiongozi wa mapinduzi ya Kijamaa ya Urusi mwaka 1917 ndugu Vladmir llyich Ulyanov almaarufu Vladmir Lenin azaliwe. Lenin alizaliwa tarehe 22 Aprili mwaka 1870 nchini Urusi, katika mji wa Simbirsk baadae ulijulikana kama Ulyanovsk karibu na mjii mkuu wa […]

KHALIFA: MWANAHABARI ASIYE NA HABARI NA HABARI ZA HABARI HATIMAYE APEWA HABARI

Na Jasper ‘Kido’ Sabuni Naam yametimia! Yale yaliyokuwa yanatarajiwa na baadhi yetu hatimaye yametimia. Nieleweke kuwa sisemi yametimia kwa ubaya, La Hasha! Ila nasema yametimia kwa kuwa yaliyofanywa na Mwananchi Communications Limited, ya ‘kutemana’ na mwanahabari Khalifa Said yalikuwa yakitarajiwa, haswa na miongoni mwa wafuatiliaji wa mitandao, mienendo ya kisiasa na shughuli za vyombo vya […]

HOLDING ON TO THE SOCIALIST EXPEDITION

BY CHRISTINA MFANGA One year is gone since my engagement with the socialist experiences in the land of Brazil but none of its memories has gone with it. My mind is  still encircled with its  practical experiences, mistica and all the symbologies that deepens  my enthusiasm about the cause each day.  Talking of the symbologies, […]

SAMIR AMIN: MWANAZUONI NA MWANAHARAKATI ATAKAYEKUMBUKWA

Na Nizar K Visram (Canada) ULIMWENGU umempoteza msomi mashuhuri wa Kiafrika, Profesa Samir Amin, aliyefariki siku ya Jumapili tarehe 12 Agosti mwaka huu akiwa amelazwa hospitalini jijini Paris. Mauti yalimfika akiwa na umri wa miaka 86 baada ya kuugua ugonjwa wa saratani. Hapa Tanzania wengine tutamkumbuka Samir Amin akiwa mtoa mada katika tamasha la Kigoda […]

HOW SAMIR AMIN BECAME A SOCIALIST

Prof. Samir Amin, one of the world’s most acclaimed Marxist thinkers, passed away on 12th August 2018. As we celebrate his life, we reproduce an anecdote given by Issa Shivji on how ‘Samir Amin became a socialist at the age of six.’ Prof Shivji was introducing Prof. Amin as the Distinguished Nyerere Lecturer at the […]

HAKI ZA MSINGI KWA WOTE: TUJIFUNZAYO KUTOKA KWA FIDEL CASTRO NA MAPINDUZI YA CUBA

Na Njuki Githethwa Muda kama huu mwaka 2016, wananchi kadhaa nchini Kenya walihudhuria tukio lililoandaliwa na Chama cha Social Democratic kikishirikiana na Jumuiya ya Urafiki kati ya Kenya na Cuba lililofanyika katika Ubalozi wa Cuba jijini Nairobi ili kutabaruku na kuadhimisha kifo cha Fidel Castro kilichotokea Novemba 25, 2016. Kwa kutazama washiriki katika tukio hilo, […]

FRED M’MEMBE: MAY 1 IS A DAY FOR CASTING AWAY ILLUSIONS AND PREPARING FOR STRUGGLE

BY CDE FRED M’MEMBE (SOCIALIST PARTY ZAMBIA) Revolutionary greetings to all those who toil! May 1 is not simply a day of celebration for the working class, their trade unions and political parties – socialist parties. On this day, we are reminded about why the flag of working class organisations – trade unions, political parties […]

NI NINI CHIMBUKO LA MEI MOSI?

  NA ROSA LUXEMBURG (Aprili 30, 1894) Imefasiriwa na Sabatho Nyamsenda Utangulizi wa Mfasiri Rosa Luxemburg alizaliwa mwaka 1871 nchini Poland. Ufanisi wake kitaaluma ulimfanya kuwa kati ya wanawake wachache wa mwanzo kuhitimu shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Zurich, akiwa na umri wa miaka 26 tu. Hakusoma ili ajikuzie kipato na kuutumikia mfumo […]

NUMSA REMEMBERS Cde CHRIS HANI

10 April, 2018 For immediate Release On 10 April 1993, Chris Hani was assassinated for his unwavering commitment to the total liberation of workers from the chains of capitalist exploitation. “Nithi sixole kanjani amabhunu abulale uChris Hani? Ayangcangazela amabhunu abulale uChris Hani” [How do you expect us to be at peace when the Boers have […]

MAMBUSH I HEED TO YOUR CALL COMRADE: MY LITTLE SECRETS IN THE MARIKANA ROCKS

Green Blanket Whispers to a Black Turbine. My Little Secrets from Marikina Rocks   Look at the Nile River, then look at the Congo River, What do you see there? Look at the Niger River, then look at the Zambezi River, tell me what do you see there? Look at all little rivers and all […]

“IMPERIALISM CAN NEVER BE TRUSTED”

Below are three radical statements uttered recently by Miguel Diaz-Canel, Cuba’s First Vice President, who is likely to be the next President of Cuba, after Raul Castro’s retirement in April 2018. Diaz-Canel was responding to Trump’s imperialist meddling into the internal affairs of Cuba and Venezuela. We hope (if he is chosen to succeed Raul […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.