Monthly Archives: February 2019

UNYONYAJI NA UKANDAMIZAJI WA WAFANYAKAZI KATIKA SEKTA YA MADINI NA NISHATI

NA NICODEMES KAJUNGU Januari 22 na 23, 2019 ulifanyika mkutano mkuu wa wadau wa sekta ya madini. Siku ya kwanza ya mkutano huo ilikuwa ya kipekee, hasa pale ambapo Rais Magufuli ambaye alikwenda kufungua mkutano huo alipoamua kubadili ratiba ili kusikiliza kero za wadau wa sekta ya madini. Kwa mtu aliyefuatilia mkutano ule atagundua kuwa […]

PROF ISSA SHIVJI: SOCIAL RESPONSIBILITY OF INTELLECTUALS IN BUILDING COUNTER-HEGEMONIES

Keynote at Launching of African Humanities Programme books, February 1, 2019, University of Dar es Salaam. BY PROF ISSA SHIVJI Intellectuals pride themselves as producers of knowledge. They are also articulators of ideologies, a role they do not normally acknowledge. Respectable universities worth the name call themselves sites of knowledge production. I say “respectable” because […]

RICHARD MABALA: WANAFUNZI WA SHULE ZA KATA WANAKATIKA, WA SHULE ZA BINAFSI, JE?

[Makala hii fupi imechapwa kutoka mkanda wa video uliorekodi mchango wa mzee Richard Mabala kwenye Kongamano la Kuenzi mchango wa Prof Karim Hirji Kiuwanazuoni na Kitaaluma lililofanyika tarehe 10 Januari 2019 katika ukumbi wa Soma Book Cafe, jijini Dar es Salaam. Tumeamua kuichapa makala hii ili kuibua tafakuri juu ya mfumo wetu wa elimu. Mara […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.