Author Archives: SAUTI YA UJAMAA

Mabadiliko ya Sheria na Agano la Umma

Na Jasper Kido “Hapo mwanzo palikuwapo na umma; nao umma ukaunda Jamhuri ya Muungano; nao umma ukazaa serikali, bunge na mahakama. Nayo mihimili ikawako kwa umma; wala pasipo umma hakuna kilichopaswa kufanyika. Ndani ya umma ukawepo uzima, nao ule uzima ukawa tunu, kwa wote, na nuru, kote ukapata mulika. Nayo nuru ikang’ara gizani, wala giza […]

Siku Ya Ukombozi wa Bara la Afrika 2020: Mwendelezo wa Mateso Yasiyokoma

“Hata hivyo ewe mtoto mweusi/wa kiafrika, katika unadhifu ama Dhalili umezaliwa katika haya na katika udhaifu ama dhalili utakufa kwayo” Steve Bantu Biko Na Muhemsi Mwakihwelo Sehemu I Akisi Fupi Waenzi na watetezi wa ukuu/ utukufu wa Afrika ama mtu mweusi hukumbwa na changamoto katika kufanya marejeo kwa kuwa hulazimika kutumia rejeo kuukuu ama kongwe […]

REMIND LORD CHRIS PATTEN: TIME FLIES FASTER THAN HIS CONSCIOUSNESS

Writes Christina Mfanga For centuries, the colonized people have not only suffered from having to live as subjects of colonialism in its every new phase, but they have also been mocked with ideas and assertions that they have to be grateful for colonial oppression. The infamous notion of ‘civilization mission’ has been used to justify […]

WANAWAKE NA UWAKALA KATIKA KILIMO

Na Theodora Pius Wanawake Juu? Juuuu! Wanawake Hai, Hoi? Haiiiiii! Wiii! Waaa! Wanawake tunaweza, hatuwezi? Tunawezaaa! Salamu hizi si ngeni hata kidogo; nazo zimekuwa maarufu na yamkini pendwa sana, hususani katika maeneo ya vijijini. Lakini je, salamu hizi na tambo zilizomo katika majibu yake zina akisi kwa kiasi gani Ujuu, Uhai na Kuweza kwa wanawake? […]

Msimamo wa Nyerere Katika Nyakati Hizi

Na Joel Ntile Ni miongo miwili sasa imepita tangu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atutoke na imeshuhudiwa kwa sehemu kubwa bado ameendelea kuzungumzwa kwa namna mbalimbali hasa juu ya yale aliyoyasimamia na kuyapigania enzi za uhai wake. Watu tofauti tofauti katika nyakati hizi wanamzungumza Mwalimu Nyerere kwa malengo tofauti tofauti na kwa namna tofauti. Rafiki […]

I CAN’T BREATHE!

I can’t breathe… My chest is so full of anger, I am overwhelmed with hatred, bitterness, vengeance and fury, I am chocked with fear, The pain is so intense I can no longer bear,   Why do they have to be so obsessed with us of my kind? In their vicious self and mind, They’d […]

Jinsi Corona Inavyotukumbusha Uafrika Wetu

Na. Armstrong C. Matogwa Iksiri Makala haya yanaeleza jinsi ugonjwa wa corona ulivyoleta mwanga kwa Waafrika katika kujitambua na kutafuta kujitegemea. Hili limetokea baada ya matukio mbalimbali ikiwemo visa vya ubaguzi wa rangi vilivyotokea huko China pamoja na udhaifu wa tiba za Wazungu katika kuponya wagonjwa wa corona. Mambo haya yamewafanya Waafrika wajitafakari upya, wajione […]

WAVUJAJASHO UNGANENI

Na Sabatho Nyamsenda Mumbai hadi Bunda Wamegeuzwa punda Wabebeshwa mizigo Na kulipwa vipigo. Kule Kariakoo Wanazibua vyoo Kinyesi chawarukia Maradhi yawangukia Viwandani mejazana Wazee hata vijana Bidhaa wanazalisha Bepari ‘mtajirisha Ukienda migodini Wanazama aridhini Yajapo maporomoko Wanafia huko huko Delihi hadi Tanga Mabinti wanadanga Mkono wende kinywani Watoto wende shuleni. Kwa nini hatuelewi? Na kujifanya […]

I Feel A Strong Desire

By Comrade Joseph Tembe I feel a strong desire To help poor families, The likes of my own… Those burnt by the rulers’ fire, Those suffering The consequences of economic failures, Victims of poverty, dependence and diseases Burdened with miseries, problems and challenges, I feel a strong desire For we need to see progress, In […]

Miaka 150 ya Vladmir Lenin: Historia yake kwa ufupi

Na Eliza Siku ya jumatano April 22 mwaka huu ilitimia miaka 150 tangu Mwanafalsafa, Mwanasiasa na kiongozi wa mapinduzi ya Kijamaa ya Urusi mwaka 1917 ndugu Vladmir llyich Ulyanov almaarufu Vladmir Lenin azaliwe. Lenin alizaliwa tarehe 22 Aprili mwaka 1870 nchini Urusi, katika mji wa Simbirsk baadae ulijulikana kama Ulyanovsk karibu na mjii mkuu wa […]

MKAKATI WA KILIMO CHA KISASA, LISHE HAI AU HOI?

Na Theodora Pius Lishe na afya ya watu katika taifa lolote lile ni zao kubwa la mfumo mzima wa kiuchumi na wa uzalishaji katika kilimo, ambao wazalishaji wa chakula huuendea. Je hali ya lishe ikoje nchini na ulimwenguni kulingana na mfumo wa kiuchumi na kiuzalishaji tuliouendea? Hali ya Chakula na Lishe Duniani kote, kumekuwepo na […]

Vladimir Ilyich Ulyanov Lenin

Heri Ya Kumbukizi ya Maisha na Mchango wa Vladimir Lenin Aprili 22, 1870 – Januari 21, 1920 Uzoefu wake, Maarifa yake, Taaluma yake, Mbinu zake, Itikadi yake, Silika na haiba yake, Villibadilisha kabisa mwendo wa ulimwengu karne ya 20. Je, ipo maana ya uzoefu wake? Kwa namna na kiasi gani unaweza kujifunza na kuhamasika toka […]

SAUTI YA UJAMAA

Welcome to the Socialist Voice

Discover WordPress

A daily selection of the best content published on WordPress, collected for you by humans who love to read.

The Daily Post

The Art and Craft of Blogging

WordPress.com News

The latest news on WordPress.com and the WordPress community.