Tunapenda kuwafahamisha wasomaji wetu ndani na nje ya Afrika kuwa blogu ya SAUTI YA UJAMAA inamilikiwa na kuratibiwa na Bwana NJUKI GITHETHWA ambae ni raia wa Kenya. Blogu hii itaendelea kuchapa makala zinazohusu mapambano ya wavujajasho ndani na nje ya Afrika, huku msisitizo mkubwa ukiwa katika nchi za Afrika Mashariki.
Tunawaalika wasomaji wetu watume makala ili tuzichape katika blogu hii. Makala zitumwe kwa barua-pepe: ujamaavoice@gmail.com
Mapambano ya kuibomoa ngome ya ubepari na ubeberu yanaendelea. Hakuna kurudi nyuma. Hakuna kujisalimisha.